• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 30, 2013

  MAN UNITED KWAPA NA BEGA NA UBINGWA LIGI KUU ENGLAND BAADA YA KUIFUMUA SUNDERLAND 1-0 JIONI HII


  BAO la bahati mbaya la kujifunga la Titus Bramble limeiwezesha Manchester United kuendelea kuning'inia kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya kuilaza Sunderland 1-0.
  Beki huyo mwenye bahati mbaya, alijikuta akimalizia shuti la Robin van Persie dakika ya 27 kwa kumtungua kipa wake mwenyewe, Simon Mignolet.
  Sunderland: Mignolet, Bardsley (Larsson 78), Bramble, O'Shea, Rose/Colback dk85, Johnson/Wickham dk76, Gardner, N'Diaye,McClean, Sessegnon na Graham.
  Man Utd: De Gea, Da Silva/Evans dk32, Vidic, Smalling, Buttner, Valencia, Carrick, Anderson/Cleverley dk84, Young, Kagawa/Welbeck dk78 na van Persie.
  Closing in on the title: Robin van Persie celebrates with Nemanja Vidic and Alex Buttner

  Jirani na ubingwa: Robin van Persie akishangilia na Nemanja Vidic na Alex Buttner baada ya jitihada zake kuipa ushindi Man United ambayo sasa iko jirani kabisa na ubingwa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MAN UNITED KWAPA NA BEGA NA UBINGWA LIGI KUU ENGLAND BAADA YA KUIFUMUA SUNDERLAND 1-0 JIONI HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top