BIN KLEB AWAFARIJI MPIRA PESA KUFUTIWA UANACHAMA SIMBA, AWANUNULIA TIKETI ZA KUANGALIA MECHI YA SERENGETI BOYS NA KONGO KESHO
Mwenyekiti
wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Abdallah Ahmad Bin Kleb amewafariji
wanachama wa Simba wa tawi Mpira Pesa waliofutiwa uanachama kwa kuwanunulia
tiketi za kwenda kuangalia mechi ya kesho ya Serengeti Boys na Kongo Brazzaville,
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Pichani Bin Kleb akipokea tiketi hizo baada ya
kuzilipia.
Item Reviewed: BIN KLEB AWAFARIJI MPIRA PESA KUFUTIWA UANACHAMA SIMBA, AWANUNULIA TIKETI ZA KUANGALIA MECHI YA SERENGETI BOYS NA KONGO KESHO
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry