• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 28, 2012

  WAANDISHI WAMPONZA KOCHA WA SUDAN AFUNGIWA CECAFA

  Kocha wa Sudan, Mubarak Suleiman akifuatilia mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda kati ya timu yake na Somalia, uliomalizika kwa sare ya bila kufungana. Kocha huyo anatumikia adhabu kwa kosa la kutohudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari, baada ya kufungwa mabao 2-0 na Tanzania Bara Jumapili.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: WAANDISHI WAMPONZA KOCHA WA SUDAN AFUNGIWA CECAFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top