• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 26, 2012

  GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE KATIKA PICHA DAR ES SALAAM

  Nassor Kessy wa Kigogo Mburahati, akijaribu bahati yake kwa kupiga danadana wakati wa mchujo wa shindano la Guinness Football Challenge (GFC) lililofanyika viwanja  ya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 


  Mkurugenzi wa Msoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru akionyesha uwezo wake wa kupiga danadana wakati wa mchujo wa shindalo na Guinness Football Challenge (GFC) katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE KATIKA PICHA DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top