ZANZIBAR YAANZA KWA SARE TASA TUSKER CHALLENGE 2012
Kiungo wa
Zanzibar, Khamis Mcha ‘Vialli’, (kulia) akigombea mpira na beki wa Eritrea,
katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA
Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole jioni hii. Timu hizo
zilitoka sare ya bila kufungana.
Beki wa
Zanzibar, Nassor Masoud ‘Chollo’, (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa
Eritrea, katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na
Kati, CECAFA Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole jioni hii. Timu
hizo zilitoka sare ya bila kufungana.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...