• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 26, 2012

  KAMANDA POLISI TANGA ATHIBITISHA KIFO CHA SHARO MILIONEA

  Msanii maarufu wa Luninga, Sharo Milionea (pichani), amefariki dunia leo katiak ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Lusanga, Muheza, mkoani Tanga. Kamanda wa Polisi Tanga, Constantine Massawe, amethibitisha kutokea kifo cha msanii huyo aliyekuwa anaimba muziki wa kizazi kipya pia. Habari zaidi zitafuatia.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: KAMANDA POLISI TANGA ATHIBITISHA KIFO CHA SHARO MILIONEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top