• HABARI MPYA

  Jumanne, Novemba 27, 2012

  KENYA YAFUFUA MATUMAINI CECAFA TUSKER CHALLENGE

  Kiungo wa Kenya, Kevin Omondi akimdhibiti mshambuliaji wa Sudan Kusini, Martin Kamis anayejaribu kuondoka na mpira katika mechi ya Kundi A, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge, Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda jioni hii. Kenya ilishinda 2-0 mabao ya David Ochieng dakika ya 24 na Clifton Miheso dakika ya 72. Kenya sasa inaongoza Kundi A kwa wastani wa mabao, ikiwa na pointi sawa na Uganda na Ethiopia ambazo zinamenyana baadaye kidogo.

  Beki David Owino akiwatoka wachezaji wa Sudan

  Kenya wakishangilia bao la pili

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: KENYA YAFUFUA MATUMAINI CECAFA TUSKER CHALLENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top