• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 24, 2012

  UGANDA NA KENYA KATIKA PICHA LEO NAMBOOLE

  Wachezaji wa Uganda, The Cranes wakimpongeza Geoffrey Kizito wa mbele kulia, baada ya kuwafungia bao pekee la ushindi dhidi ya Kenya, Harambee Stars katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole usiku wa leo. 

  Kizito akikimbia kushangilia

  Kizito akishangilia na Brian Umony nyuma yake aliyempanda mgongoni

  Humphrey Miano wa Kenya kushoto akigombea mpira na Kizito. Kulia ni David Ochieng wa Kenya pia

  David Owino wa Kenya akimdhibiti Hamisi Kiiza wa Uganda mbele yake

  Owino na Kiiza
  Owino na Kiiza

  Gwaride la sherehe za ufunguzi wa mashindano

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: UGANDA NA KENYA KATIKA PICHA LEO NAMBOOLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top