WAZEE WA KUZAMIA NCHI ZA WATU WAKIPIGA MICHAKATO...
Wachezaji wa timu ya taifa ya Eritrea, wakiwa
Uwanja wa Mandela, Namboole, mjini Kampala, wakifuatilia mchezo kati ya
Tanzania na Burundi jana. Wachezaji wa Eritrea wana sifa kubwa ya kutorokea
nchi za watu wakienda kwenye mashindano, kiasi cha serikali ya nchi yao
kuwawekea sheria nguvu ya kuweka fedha za kwao 100,000 kama bondi kabla ya kusafiri.