• HABARI MPYA

  Jumanne, Novemba 27, 2012

  KIM POULSEN AKIPIGA CHABO WAGANDA NA WAHABESHI NAMBOOLE

  Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, Mdenmark Kim Polusen (kulia) akishuhudia kwa makini mchezo wa Kundi A, kati ya Uganda na Ethiopia, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Kagame Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda. Wengine kushoto kwake ni Michael Mukunza wa Executive Solutions, Waratibu wa udhamini wa Kilimanjaro Premium Lager kwa Stars na Kocha Msaidizi, Sylvester Marsh. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: KIM POULSEN AKIPIGA CHABO WAGANDA NA WAHABESHI NAMBOOLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top