• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 24, 2012

  ETHIOPIA YAIFUNGA KWA MBINDE SUDAN KUSINI TUSKER CHALLENGE

  Mshambuliaji wa Sudan Kusini, Hamisi Leon akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Ethiopia katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na kati, CECAFA Tusker Challenge uliofanyika kwenye Uwanja wa Mandela, Mamboole, Kampala, Uganda. Ethiopia imeshinda 1-0, bao pekee la Yonatal Kebede Teklemariam kipindi cha pili. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: ETHIOPIA YAIFUNGA KWA MBINDE SUDAN KUSINI TUSKER CHALLENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top