• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 23, 2012

  AKUFFO AMREJESHA MUDDE SIMBA SC

  Nafasi ya mshambuliaji Mghaha, Daniel Akuffo (pichani) katika klabu ya Simba itazibwa na kiungo Mganda, Mussa Mudde. Akuffo alisajiliwa Simba mwanzoni mwa msimu baada ya kutemwa kwa Mudde, aliyekuwa majeruhi. Lakini kutokana na Mghana huyo kushindwa kung'ara Msimbazi, sasa Mudde aliyepona anarejeshwa kikosini Simba. Tayari Simbe imekwishatangaza beki Mkenya Paschal Ochieng atatemwa na nafasi yake anachukua beki Mganda, Joseph Owino kutoka Azam FC.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: AKUFFO AMREJESHA MUDDE SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top