• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 24, 2012

  KILI STARS NDANI YA KAMPALA TAYARI KWA TUSKER CHALLENGE 2012

  Mshambuliaji wa timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, John Bocco wa Azam FC ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, akiwangoza wenzake kutoka Uwanja wa Ndege wa Entebe, Uganda jana kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, Tusker Challenge inayoanza leo mjini hapa Kampala, Uganda. Stars imefikia hoteli ya Mt Zion na itakuwa ikifanya mazoezi Nakawa, wakati kesho itaanza kampeni zake kwa kumenyana na Sudan, Uwanja wa Mandela, Namboole sa 12:00 jioni.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: KILI STARS NDANI YA KAMPALA TAYARI KWA TUSKER CHALLENGE 2012 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top