• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 28, 2012

  SHABIKI WA TANZANIA TAYARI KUISHANGILIA KILI STARS DHIDI YA BURUNDI

  Shabiki wa Tanzania, Ally Abubakar kutoka River Side, Ubungo akiwa tayari kuishangilia Kilimanjaro Stars, inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager katika mchezo wake dhidi ya Burundi wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge 2012 utakaonza muda mchache ujao Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: SHABIKI WA TANZANIA TAYARI KUISHANGILIA KILI STARS DHIDI YA BURUNDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top