• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 28, 2012

  SUDAN WAIPIGA KIDUDE SOMALIA

  Mshambuliaji wa Somalia, Ali Ahmed Ali akichuana na beki wa Sudan, Faris Abdallah katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda. Sudan ilishinda 1-0, bao pekee la Farid Mohamed.

  Kiungo wa Sudan, Sadam Abdutalib akijaribu kuwatoka mabeki wa Somalia katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana na kwa matokeo hayo zinaendeleakushika nafasi mbili za chini kwenye Kundi hilo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: SUDAN WAIPIGA KIDUDE SOMALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top