• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 29, 2012

  UZINDUZI WA TUSKER LITE ULIVYOFANA DAR

  Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Steve Gannon akinyanyua juu bia mpya ya Tusker Lite wakati wa uzinduzi wake rasmi uliofanyika mbele ya maafisa masoko wa makampuni mbalimbali nchini wakati wa tafrija maalum ya ‘Markerts Night’ jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Mpigapicha wetu).

  Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Epraim Mafuru akizungmza mara baada ya uzinduzi wa bia mpya ya Tusker Lite wakati wa uzinduzi wake rasmi uliofanyika mbele ya maafisa masoko wa makampuni mbalimbali nchini wakati wa tafrija maalum ya ‘Markerts Night’ jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Mpigapicha wetu).


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: UZINDUZI WA TUSKER LITE ULIVYOFANA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top