Mwenyekiti
wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Injinia Leodegar
Chillah Tenga (kushoto) akisalimiana na
Mjumbe wa Heshima wa CECAFA, Alhaj Muhiddin Ahmad Ndolanga kulia kwenye Uwanja
wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda kabla ya mechi ya Kundi ya Kombe la
Mataifa ya Afrika Mashariki na kati, CECAFA Tusker Challenge kati ya Tanzania
Bara na Sudan jioni hii.