• HABARI MPYA

  Jumanne, Novemba 27, 2012

  UGANDA YATANGULIA ROBO FAINALI CECAFA TUSKER CHALLENGE

  Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, Mdenmark Kim Polusen (kulia) akishuhudia kwa makini mchezo wa Kundi A, kati ya Uganda na Ethiopia, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Kagame Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda. Wengine kushoto kwake ni Michael Mukunza wa Executive Solutions, Waratibu wa udhamini wa Kilimanjaro Premium Lager kwa Stars na Kocha Msaidizi, Sylvester Marsh. 

  Hatari kwenywe lango la Ethiopia

  Kipa namba moja wa Uganda, Abbel Dhaira akiwa jukwaani kufuatilia mchezo huo, kushoto ni kimwana aliyekuwa naye. Abbel hatacheza tena mashindano haya baada ya kuumia kwenye mechi ya ufunguzi na Kenya jicho lililovimba kulia.

  Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, Mdenmark Kim Polusen (kulia) akijadiliana na Msaidizi wake, Sylvester Marsh wakati mchezo huo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: UGANDA YATANGULIA ROBO FAINALI CECAFA TUSKER CHALLENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top