ARSHAVIN KUTUA READING JANUARI

Kocha wa Reading, Brian McDermott anataka kumsajili mchezaji wa Arsenal, Andrey Arshavin, mwenye umri wa miaka 31, Januari lakini amesema kusajili wachezaji wengi katika mwaka mpya ni kuwakosea heshima wachezaji waliopo.
Beki wa pembeni wa Chelsea, Ashley Cole, mwenye umri wa miaka 31, amefanya mazungumzo na kocha wa klabu ya Paris St-Germain, Carlo Ancelotti juu ya kuhamia kwake klabu hiyo ya Ligue 1, Ufaransa.
Kocha wa QPR, Mark Hughes hamewaambia Arsenal washau kumsajili Adel Taarabt, mwenye umri wa miaka 23, anatakiwa na timui hiyo London baada ya kuonyesha uwezo kiubwaa.

POGBA ATEMWA JUVE

Mchezaji wa zamani wa Manchester United,  Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 19, ametemwa na Juventus katika kikosi cha leo kitakachocheza mechi na  Pescara.
Paul Pogba
Paul Pogba  
Beki wa England, Gary Cahill, mwenye umri wa miaka 26, amesema kwamba Chelsea bado haichezi soka ya kubut6ia.
Sir Alex Ferguson, mwenye umri wa miaka 70, ameirengeneza timu yake ifunge mabao 100 katika Ligi Kuu England  baada ya kuwa hadi sasa imefunga mabao 26.
Gary Cahill
Gary Cahill  
Kocha wa Everton, David Moyes amesema kwamba Leon Osman, ambaye ameitwa timu ya taifa ya England akiwa na umri wa miaka anaweza kuwa mtu muhimu dsns kes tsoigs hilo baadaye.
Kocha wa Norwich, Chris Hughton anaamini kiap wa England, John Ruddy, mwenye umri wa miaka 26, bado ni muhimu.