Yanga B imeshindwa kuwatilia
baraka kaka zao, kuelekea mchezo wa jioni, baada ya kuwaruhusu mabingwa wa
Kombe la BancABC Sup8R, Simba B, inayofundishwa na Suleiman Matola, akisaidiwa
na Amri Said kutoka nyuma kwa mabao 2-0 na kupata sare ya 2-2. Mabao ya Yanga B
inayofundishwa na kocha wake, Salvatory Edward akisaidiwa na Abubakar Salum yamefungwa
na Kelvin Nkini kipindei cha kwanza na Notikel Masasi kipindi cha pili, wakati
ya Simba yalifungwa na Miraj Athumani na Omar Salum dakika za lala salama.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago











.png)
0 comments:
Post a Comment