| V |
UTABIRI LEO
|
| BET | ODDS |
| 1 | Wayne Rooney akifunga England inashinda | 4/1 |
| Mshambuliaji huyo wa Manchester United amerejea uwanjani baada ya kumaliza adhabu yake mechi mbil, na William Hill tayari ameweka dau kwamba atafunga bao la ushindi kwa Three Lions |
| 2 | Andriy Shevchenko kufunga mawili zaidi | 10/1 |
| Gwiji huyo wa AC Milan alifunga mabao mawili wakati Ukraine ikicheza na Sweden na kushinda mechi hiyo, na nyota huyo wa zamani wa Chelsea atakuwepo leo kufunga mabao mawili zaidi. |
| 3 | Danny Welbeck kufunga mwisho | 7/1 |
| Danny Welbeck alifunga bao la ushindi kwa England katika mechi iliyopita, anapewa 7/1 kufunga bao la mwisho kwenye mchezo wa leo. |
| 4 | Ukraine itashinda 1-0 | 10/1 |
| Mara ya mwisho timu hizo zilipokutana, Ukraine ilishinda 1-0 katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia. Inapewa nafasi ya kurudia mambo hayo katika mchezo wa leo na William Hill. |
| 5 | Timu zote zitafunga | 4/5 |
| Hata kama timu zote hazijafungwa katika mechi zao zilizopita, lakini zote zina nafasi ya kutinga Robo Fainali. Katika kufunga mabao, timu zote zinapewa 4/5 na William Hill. |


.png)
0 comments:
Post a Comment