• HABARI MPYA

  Sunday, April 07, 2019

  JESUS AIPELEKA FAINALI MANCHESTER CITY KOMBE LA FA ENGLAND

  Gabriel Jesus (kulia) akiifungia bao pekee Manchester City kwa kichwa dakika ya nne akimalizia pasi ya Kelvin De Bruyne katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion usiku wa jana kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la FA England Uwanja wa Wembley mjini London.
  Manchester City itakutana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili ya leo kati ya Watford na Wolverhampton Wanderers kwenye fainali Mei 18 hapo hapo Wembley  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JESUS AIPELEKA FAINALI MANCHESTER CITY KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top