Phil Jagielka akiifungia bao pekee Everton dakika ya 10 kufuatia kuanza badala ya mgonjwa, Michael Keane Everton ikiilaza 1-0 Arsenal leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool. Kwa ushindi huo, Everton inafikisha pointi 46 baada ya kucheza mechi 33 na kupanda kwa nafasi mopja hadi ya tisa, Arsenal ikibaki na pointi zake 63 sawa na Chelsea katika nafasi ya nne baada ya wote kucheza mechi 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ghanaian goal-machine Jordan Mintah joins Malaysian side Terengganu FC on one-year deal
-
Ghanaian scoring sensation Jordan Mintah has signed a one-year contract
with Malaysian top-flight side Terengganu Football Club, the club announced
on Sund...
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment