• HABARI MPYA

    Sunday, May 14, 2017

    COUTINHO APIGA MBILI, LIVERPOOL YASHINDA 4-0 ENGLAND

    Philippe Coutinho akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 57 na 61 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, West Ham Uwanja wa London leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Daniel Sturridge dakika ya 35 na Divock Origi dakika ya 76
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COUTINHO APIGA MBILI, LIVERPOOL YASHINDA 4-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top