• HABARI MPYA

  Saturday, May 13, 2017

  ARSENAL YAFANYA KWELI, YAWATANDIKA STOKE CITY 4-1 BARAZANI KWAO

  Mesut Ozil akipongezwa na Olivier Giroud, Hector Bellerin na Nacho Monreal baada ya kufunga bao la pili dakika ya 55 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Stoke City Uwanja wa Bet365 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo, Giroud alifunga mabao mawili dakika za 42 na 80 na lingine Alexis Sanchez dakika ya 76 wakati la wenyeji limefungwa na Peter Crouch dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAFANYA KWELI, YAWATANDIKA STOKE CITY 4-1 BARAZANI KWAO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top