Mshambuliaji kinda wa miaka 20, Mbrazil, Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester City kwa penalti dakika ya 36 ikiwalaza Leicester City 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao lingine la City limefungwa na David Silva dakika ya 29 wakati la Leicester limefungwa na Shinji Okazaki dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Anthony Joshua vs Jake Paul LIVE: Scorecard and round-by-round updates as
the former two-time heavyweight world champion controversially enters the
ring with YouTuber turned boxer
-
Follow all the action as Jake Paul and Anthony Joshua go head-to-head at
Miami's Kaseya Center in a blockbuster showdown being watched by more than
50 mill...
22 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment