Mesut Ozil akipongezwa na Olivier Giroud, Hector Bellerin na Nacho Monreal baada ya kufunga bao la pili dakika ya 55 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Stoke City Uwanja wa Bet365 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo, Giroud alifunga mabao mawili dakika za 42 na 80 na lingine Alexis Sanchez dakika ya 76 wakati la wenyeji limefungwa na Peter Crouch dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wolves chairman QUITS: Angry fans get their wish as Jeff Shi steps down
after weeks of protests, with Rob Edwards' side heading for the Championship
-
TOM COLLOMOSSE: Jeff Shi has stepped down as executive chairman of Wolves
after a chaotic period on and off the pitch.
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment