• HABARI MPYA

  Friday, February 10, 2017

  WENGER, EL NENY WAKIISUKIA MIPANGO HULL CITY KESHO

  Kiungo wa kimataifa wa Misri, Mohamed Elneny (kulia) akizungumza na kocha wake, Arsene Wenger baada ya kurejea kwenye mazoezi ya klabu yake, Arsenal mjini London leo kufuatia kurejea kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ambako tmu yake ilifungwa 2-1 na Cameroon katika fainali. Arsenal kesho itamenyana na Hull City katika Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WENGER, EL NENY WAKIISUKIA MIPANGO HULL CITY KESHO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top