Kiungo wa kimataifa wa Misri, Mohamed Elneny (kulia) akizungumza na kocha wake, Arsene Wenger baada ya kurejea kwenye mazoezi ya klabu yake, Arsenal mjini London leo kufuatia kurejea kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ambako tmu yake ilifungwa 2-1 na Cameroon katika fainali. Arsenal kesho itamenyana na Hull City katika Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment