• HABARI MPYA

  Thursday, February 09, 2017

  MANJI ALIPOTINGA POLISI LEO KUJARIBU KUHOJIWA

  Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji akiwasili makao ya jeshi la Polisi, katikati ya Jiji la Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuhojiwa kufuatia kutajwa katika orodha ya watu 65 wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya. 
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alitaja orodha hiyo jana na akawataka waliotajwa wote kufika kituo kikuu cha Polisi Dar es Salaam kesho Saa 5:00 asubuhi. Lakini Manji amejiamulia kwenda leo na haijajulikana kama atahojiwa au la 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANJI ALIPOTINGA POLISI LEO KUJARIBU KUHOJIWA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top