• HABARI MPYA

  Saturday, February 18, 2017

  GARETH BALE AREJEA NA NEEMA YA BAO, REAL YAUA 2-0 LA LIGA

  Winga wa kimataifa wa Wales, Gareth Bale akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu leo. Bao la kwanza la Real lilifungwa na Álvaro Morata dakika ya 33. Bale alikuwa anacheza kwa mara ya kwanza leo baada ya kurejea kufuatia kuwa nje ya Uwanja kwa miezi mitatu kwa maumivu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GARETH BALE AREJEA NA NEEMA YA BAO, REAL YAUA 2-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top