• HABARI MPYA

  Saturday, February 04, 2017

  CHELSEA YAIFANYA KITU MBAYA ARSENAL, YAIBAMIZA 3-1

  Wachezaji wa Chelsea, Cesar Azpilicueta, Pedro and Victor Moses wakishangilia na Marcos Alonso baada ya kuifungia The Blues bao la kwanza dakika ya 13 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal leo Uwanja wa Stamford Bridge, London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Edin Hazard dakika ya 53 na Cesc Fabregas dakika ya 86 wakati la Arsenal limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIFANYA KITU MBAYA ARSENAL, YAIBAMIZA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top