• HABARI MPYA

  Thursday, February 16, 2017

  BAYERN MUNICH YAISASAMBUA ARSENAL, 5-1 KAMA WAMESIMAMA!

  Kiungo wa Bayern Munich, Thiago akiwaongoza wenzake kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 56 na 63 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Arsenal usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Bayern yalifungwa na Arjen Robben dakika ya 11, Robert Lewandowski dakika ya 53 na Thomas Muller dakika ya 88, wakati la Arsenal lilifungwa na Alexis Sanchez dakika ya 30, ambaye pia alikosa penalti  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH YAISASAMBUA ARSENAL, 5-1 KAMA WAMESIMAMA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top