• HABARI MPYA

  Monday, June 05, 2023

  RAIS SAMIA KATIKA HAFLA YA KUWAPONGEZA YANGA LEO IKULU


  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji na Makocha wa timu ya Yanga wakati wa hafla ya kuwapongeza kwa kufanikiwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ambako walishindwa na USM Alger ya Algeria kwa mabao ya ugenini kufuatia sare ya jumla ya 2-2, wakifungwa 2-1 Dar es Salaam na kushinda 1-0 Algiers.
  Hafla hiyo ya kuwapongeza Yanga imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 June, 2023.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIA KATIKA HAFLA YA KUWAPONGEZA YANGA LEO IKULU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top