Nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez akifanya mazoezi kwa bidii baada ya kujiunga na timu yake hiyo leo kufuatia mapumziko marefu zaidi aliyopewa tofauti na wenzake baada ya kuwa amekwenda kuiongoza timu yake ya taifa, Chile kwenye michuano ya Kombe la Mabara Juni mwaka huu, ambako ilishika nafasi ya pili baada ya kufungwa 1-0 na Ujerumani katika fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment