• HABARI MPYA

  Tuesday, August 01, 2017

  'PROFESHENO' DANI LYANGA ANASINDIKIZWA NA WIFE KURUDI KAZINI OMAN

  Mshambuliaji Mtanzania, Daniel Lyanga (kulia) akisindikizwa na mke wake, Tecla Jonas Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kwa safari ya Oman kurejea kujiunga na timu yake, Fanja FC kufuatia mapumziko ya baada ya msimu uliopita 
  Daniel Lyanga ni mchezaji wa zamani wa Coastal Union ya Tanga na Simba ya Dar es Salaam
  Daniel Lyanga pia amewahi kuchezea DC Motemba Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) 
  Daniel Lyanga akiwa kwenye ndege kwa tayari kwa safari leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'PROFESHENO' DANI LYANGA ANASINDIKIZWA NA WIFE KURUDI KAZINI OMAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top