// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO AFUNGA, REAL MADRDI YAICHAPA BARCA 3-1 CAMP NOU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO AFUNGA, REAL MADRDI YAICHAPA BARCA 3-1 CAMP NOU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Monday, August 14, 2017

  RONALDO AFUNGA, REAL MADRDI YAICHAPA BARCA 3-1 CAMP NOU

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao pili Real Madrid dakika ya 80 kufuatia kuingia akitokea benchi kipindi cha pili timu yake ikishinda 3-1 dhidi ya wenyeji, Barcelona Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa kwanza wa Super Cup ya Hispania usiku wa jana. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Gerard Pique aliyejifunga dakika ya 50 na Marco Asensio dakika ya 90, wakati la Barca lilifungwa na Lionel Messi dakika ya 77 kwa penalti. Ronaldo alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 82, kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili njano, ya kwanza kwa kuvua shati wakati wa kushangilia na ya pili kwa kujiangusha PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA, REAL MADRDI YAICHAPA BARCA 3-1 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top