• HABARI MPYA

  Monday, August 14, 2017

  SIMBA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Kiungo wa Simba SC, Haruna Niyonzima akimuacha chini kiungo wa Mtibwa Sugar, Mohammed Issa 'Banka' jana katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0
  Mfungaji wa bao pekee la Simba jana, Emmanuel Okwi (kushoto) akiambaa na mpira
  Mohammed Issa 'Banka' wa Mtibwa Sugar akimtoka kiungo wa Simba, James Kotei
  Beki wa Simba, Jamal Mwambeleko akimtoka mchezaji wa Mtibwa Sugar
  Mshambuliaji wa Simba, John Bocco (kushoto) akipiga shuti lililokwenda nje
  Beki wa Mtibwa Sugar, Dickson Job akimtoka beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tsabalala'
  Mohammed Issa wa Mtibwa Sugar akiwania mpira wa juu na kiungo wa Simba, Muzamil Yassin 
  Winga wa Simba, Shiza Kichuya (kulia) akipiga na kukosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa wa Mtibwa Sugar, Abdallah Makangana 
  Kikosi cha Simba kilichoanza jana
  Kikosi cha Mtibwa Sugar jana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top