Wayne Rooney akikosa bao la wazi jana Uwanja wa Goodison Park Jijini Liverpool katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia Europa League dhidi ya Ruzomberok. Everton ilishinda 1-0, bao pekee la Leighton Baines dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Friday, July 28, 2017
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment