• HABARI MPYA

  Wednesday, July 26, 2017

  ROMA WAIKANDAMIZA SPURS 3-2 ZIARA YA MAREKANI

  Nyota wa Tottenham Hotspur, Dele Alli akimtoka beki wa kulia wa Roma, Mbrazil, Bruno Peres katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Red Bull Arena mjini Harrison, New Jersey, Marekani. Roma imeshinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Diego Perotti dakika ya 13 kwa penalti, Cengiz Under dakika ya 70 na Marco Tumminello dakika ya 90 na ushei, wakati ya Spurs yamefungwa na Harry Winks dakika ya 87 Vincent Janssen dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROMA WAIKANDAMIZA SPURS 3-2 ZIARA YA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top