Winga wa Yanga, Simon Msuva ameposti picha hii kwenye Instagram akisema; "Kwaheri" wakati anaondoka Dar es Salaam jana Morocco kukamilisha mipango ya kujiunga na Difaa Hassan El Jadida ya Ligi Kuu nchini humo. Hiyo ndiyo timu ambayo imemsajili winga mwingine wa Tanzania, Ramadhani Singano 'Messi' kutoka Azam FC
Patrick Beverley Says Suns Should've Benched Chris Paul Instead of Deandre Ayton
-
Deandre Ayton was conspicuously absenc
Dakika 19 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni