• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 30, 2017

  MESSI NA MSUVA WALIVYOPIGA KAZI LEO MOROCCO

  Kiungo Mtanzania, Ramadhani Singano 'Messi' akiichezea timu yake mpya, Difaa Hassan El Jadida mchezo wa kirafiki leo nchini Morocco Picha kwa hisani ya Difaa Hassan El Jadida
  Winga Mtanzania, Simon Msuva naye alipangwa kwa mara ya kwanza Difaa Hassan El Jadida baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu
  Simon Msuva jana alianza kwa kuvaa jezi ya mchezaji mwingine Hamid Ahadad wakati za kwake zinatayarishwa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI NA MSUVA WALIVYOPIGA KAZI LEO MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top