• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 29, 2017

  PERISIC AWAANGAMIZA CHELSEA SINGAPORE, INTER YAUA 2-1

  Winga anayewaniwa na Manchester United, Ivan Perisic akipiga shuti kuifungia bao la pili Inter Milan dakika ya 53 ikiilaza 2-1 Chelsea Uwanja wa Taifa wa Singapore katika Kombe la Mabingwa wa KImataifa leo. Bao lingine la Inter Milan limefungwa na Stevan Jovetic dakika ya 45 na ushei, wakati la The Blues lilifungwa na Geoffrey Kondogbia aliyejifunga dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PERISIC AWAANGAMIZA CHELSEA SINGAPORE, INTER YAUA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top