• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 28, 2017

  LACAZETTE ANAPOYAJENGA NA MFARANSA MWENZKE MAZOEZINI ARSENAL

  Mchezaji mpya, Alexandre Lacazette aliyesajiliwa kwa dau la rekodi, Pauni Milioni 52 kutoka Lyon akizungumza na mchezaji mwenzake wa Ufaransa, Francis Coquelin wakati wa mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na msimu mpya leo Uwanja wa Emirates. Arsenal wataanza na Ngao ya Jamii dhidi ya Chelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LACAZETTE ANAPOYAJENGA NA MFARANSA MWENZKE MAZOEZINI ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top