Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akiruka juu kwa furaha baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 15 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Juventus, tena bao la pili akifunga yeye mwenyewe dakika ya 26 usiku wa jana Uwanja wa MetLife mjini East Rutherford, New Jersey, Marekani katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa. Bao la Juve limefungwa na beki Mtaliano Giorgio Chiellini dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
42 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment