Mousa Dembele wa Tottenham Hotspur (kushoto) akimdhibiti Raheem Sterling wa Manchester City jana Uwanja wa Nissan mjini Nashville, Tennessee katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa. Man City ilishinda 3-0, mabao ya John Stones dakika ya 10, Raheem Sterling dakika ya 72 na Brahim Diaz dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Guardiola hails his side's comeback against West Ham
-
Manchester City manager Pep Guardiola hailed his charges' comeback against
West Ham on Sunday evening. The league leaders found themselves two goals
down a...
Dakika 5 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni