MSHAMBULIAJI HATARI WA NDANDA FC ASAINI MTIBWA SUGAR
Mshambuliaji chipukizi, Riffat Hamisi akitia dole gumba kwenye fomu za Mtibwa Sugar ya Morogoro kusaini mkataba wa miaka miwili leo kujiunga na mabingwa hao wa zamani wa Tanzania akitokea Ndanda FC kama mchezaji huru
0 comments:
Post a Comment