• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 28, 2017

  YANGA 'WALIVYOKIWASHA' LEO MOROGORO KWA HASIRA ZOTE

  Mshambuliaji mpya kutoka Simba, Ibrahim Ajib akikimbia kwenye mazoezi ya timu yake mpya, Yanga katika kambi yao ya Morogoro kujiandaa na msimu mpya 
  Wachezaji wa Yanga wakinyoosha viungo kwenye mazoezi yao leo
  Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini leo mjini Morogoro
  Kiungo Juma Mahadhi anayeingia katika msimu wake wa pili tangu asajiliwe kutoka Coastal Union
  Beki Andrew Vincent 'Dante' anayeingia kwenye msimu wake wa pili pia tangu asajiliwe kutoka Mtibwa Sugar
  Mabeki wa muda mrefu, Kevin Yondan (kulia) na Juma Abdul (kushoto) wakijifua mjini Morogoro
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA 'WALIVYOKIWASHA' LEO MOROGORO KWA HASIRA ZOTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top