• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 26, 2017

  BEKI MTANZANIA AKIFANYA YAKE KOMBE LA UJERUMANI

  Beki Emily Mugeta wa VfB Eppingen ya Daraja la Tano Ujerumani, akiwatoka wachezaji wa TSG Weinheim ya Daraja la Nne katika mchezo wa hawa Kombe la FA ya Ujerumani jana Uwanja wa Hugo-Koch mjini Eppingen. VfB Eppingen ilishinda 2-1
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI MTANZANIA AKIFANYA YAKE KOMBE LA UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top