• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 30, 2017

  WALCOTT APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA 5-2 BENFICA

  Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott akiifungia bao la kusawazisha timu yake dakika ya 24 ikitoka nyuma kwa bao 1-0 na kushinda 5-2 dhidi ya Benfica ya Ureno katika mchezo wa Kombe la Emirates leo. Walcott alifunga pia la pili dakika ya 32, wakati mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Lisandro Lopez aliyejifunga dakika ya 52 na Olivier Giroud dakika ya 74 na  Alex Iwobi dakika ya 70 na mabao ya Benfica yamefungwa na Franco Cervi dakika ya 11 na Eduardo Salvio dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WALCOTT APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA 5-2 BENFICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top